Wema Hauozi (Access)

Wema Hauozi (Access)

KES550
Product Code: Wema Hauozi (Access)
Stock Instock

Overview

Wema Hauozi ni tamthilia fupi inayochunguza mgonganokati ya wenye tamaa ya kutenda maovu na wenye kero dhidi ya tamaa hiyo. Mgongano huu una madhara makubwa kwa wenye ujasiri wa kukemea maovu hayo lakini yote hayo ni kwa muda tu. Kumbe ipo siku juhud...

Wema Hauozi ni tamthilia fupi inayochunguza mgonganokati ya wenye tamaa ya kutenda maovu na wenye kero dhidi ya tamaa hiyo. Mgongano huu una madhara makubwa kwa wenye ujasiri wa kukemea maovu hayo lakini yote hayo ni kwa muda tu. Kumbe ipo siku juhudi za kuuzika wema hushindwa na badala yake mbegu ya wema huchipuza na kuzagaza matawi yake kwa kila kiumbe kuona. Tamthilia hii yenye ucheshi imeandikwa kwa ufundi mkubwa unaokuacha ukiwa unajiuliza maswali ya kufikirisha ufikapo mwishoni.

Dkt. Timothy M. Arege ni mwandishi wa tamthilia, mashairi na hadithi fupi. Tamthilia zake nyingine ni Chamchela, Mstahiki Meya, Kijiba cha Moyo, Majira ya Utasa, Duara, Si Shwari na Bembea ya Maisha. Kwa sasa Arege ni Mhadhiri Mkuu katika Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Product Specifications

Age Range: Kids 0-12

Pack Size: 1 PIECE

Book Type: Hardcopy

Genre: Fiction

Region: Kenyan

Subject: Kiswahili

Sub Subject: Fasihi

Publisher: ACCESS PUBLISHERS LTD


BUY NOW Wema Hauozi (Access) online in Nairobi at Emart Kenya
We offer same-day delivery in Nairobi within hours, and we send parcels to Mombasa, Eldoret, Nakuru, Kisumu, Kiambu, Voi, Nyahururu, Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Meru, Pridelands, Juja, Thika, Diani Beach, Kileleshwa, Murang’a, Wajir, Limuru, Garissa, Machakos, Kisii, Malaba Border, Tigoni Kiambu, and across all 47 counties of Kenya.
We also deliver across East Africa, including Uganda, Tanzania, and Sudan.
For quick orders Call/WhatsApp: 0799 978 966 / 0739 701 854.